Wakuu narudi tena......
Natafuta wimbo wa taal yaa habib uliombwa na Hashim Saidi akiwa na bendi ya east african taarab.

Nimeutafuta tangu 2009 bila mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo umeimbwa na Q chief akiwa na Dada mmoja hivi kama sio mganda basi ni mnyarwanda. Hiyo Dada anaimba kilugha (sio kiswahili) kwenye sehemu ya kiitikio kuna mahali Q chilah anasema natamani nikupate nami moyo uridhike.

Kama kuna MTU ameifahamu nyimbo hii maomba Nina lake tu nitaitafuta
 
Nafikiri ni huu.. Kama ni. Wenyewe niambie nikupe mp3 yenye quality

 
Kuna wimbo mmoja sijui ni wa Nani nautafuta saana, anaimba hivi:

Mtoto harufu mbaya imetawala mwilini,
Nipo njiani miaka mingi naelekea sayarini,
Navuka mito na mabonde ili nifike sayarini,
Nafsi yangu inanibana na wingi wa mitihani mama yeyeyeeeeee ×2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kuna wimbo umeimbwa kiswahili na General Defao , "kosa langu baba unihurumie , basolinaaa
sitaki tena baba wangu
Unihurumie eeh kabisa
Nilishakuwa muke ya watu
Siwezi tena kuruudi kwako
Kwani sikuona kitu ya lazimaa kwako


Koza wangu baba unihurumie
Wema wangu leo utajurisha
Sitaaki tena koza
Kama ni kuoa oa mwingine mie siwezi
Kama ni watoto fika kwetu koza
Utawaona utawaona
Usifike kwangu utaleta fujo na mpenzi wangu
wa sasa tulitaraka na wewe bira kuleta vitu kwetu
Tena nakuteswa Juu uniulumie

Ohkoozaa ohkooza
ilpaswa kwako kaka yangu nilikuvumilia ukweli
Kikombe moja kushona kushona na kuendelea koza wa baba
Kuona ni wewe kila mwezi na pesa yake wewe
Asubuhi na mapema birika ya chai ya maziwa
Ooh koza najenga mwili wangu
Usifikee kwangu koooza babaa
Kwani ni wewe wakunifukuza kwako
Sasa wananiona unanifata kwakuwa mzuri





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…