KIOO katisha sana. ana library ya kufa mtu.Tisha sana mkuu KIOO library yako si mchezo asee au wee producer nini mkuu manake hukosi vitu adimu kama hivi? Stay blessed mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
KIOO ningeomba nai urushe huo wimbo wa barua kwa rais na nyimbo nyingine za Sugu za miaka ya nyuma sana, kwenye album za Nje Ya Bongo na Ndani ya Bongo. ThanksNaombeni ngoma hizi
1.mr 2 ft mr.paul-NINAPOTAKA KUA NA DEMU
2.Mr 2-BARUA YA WAZI KWA RAISI
3.Hashim dogo mwendawazimu- NINAPOTOKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye wimbo wa Twanga Pepeta Safari 2005 anisaidie
werrason ana sebene nyingi sana kuwa specific ni sebene ipi? vinginevyoitakuwa ngumuSebeni Ia werrason naliomba jamani.
KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE
Mkuu kama una nachi tupiaKIOO ningeomba nai urushe huo wimbo wa barua kwa rais na nyimbo nyingine za Sugu za miaka ya nyuma sana, kwenye album za Nje Ya Bongo na Ndani ya Bongo. Thanks
Wakuu naombeni wimbo wa watoto huwa unaimbwa kwenye redio flani hv katka kipindi cha watoto
Unaimbwa hv...
Watoto wasafi moyoni, ni nyota ya macho ya wazaz
Sisi ni maua tuliopendwa, na mungu mwenyezii.....Mwenye nao naomba anisaidie wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app