"Ni Vers mmoja Tu ya matawi ya juu...ni Vers mmoja ya Mimi na dudu ,ni Vers mmoja itakayo kufanya ugande kwani ukituchukia Sisi ni kama unabusu umeme"Dudubaya anakwambia
Tuliza kitenesi Fa Dudu tumalize kesi.....wambie mafansi x2
Kwenye wimbo unaitwa Hawajui-fa ft jay dee. Ila hiyo ngoma sjawah kuiskia asee
Sent using Jamii Forums mobile app
"Ni Vers mmoja Tu ya matawi ya juu...ni Vers mmoja ya Mimi na dudu ,ni Vers mmoja itakayo kufanya ugande kwani ukituchukia Sisi ni kama unabusu umeme"
Nyimbo ilikuwepo kwenye album ya mwanafa
Sent using Jamii Forums mobile app
MWENYE NYIMBO HIZI ANISAIDIE
AY_______________INATEGEMEA NA MTU
_________________YULE
__________________NIPE NIKUPE FT PREZO
Huu hapa. Enjoy