Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Daaaaaaah.

Mkuu, unajua kazi ambayo unaifanya hapa jukwaani sio ndogo hata kidogo kiongozi. Mie binafsi nathamini sana mchango wako.

Kwa sababu kuna nondo nyingine unaziweka hapa hata kwenye maktaba zangu huwa nazikosa mkuu. Kwa hiyo kazi unayoifanya hapa mie binafsi nai-appreciate kwa kiwango cha hali ya juu kabisa kiongozi wangu.

Much respekt bro.

👊🏽
Ila wewe unatisha man.
Ila kuna wimbo mmoja hujanipa mpaka leo. Nataka wimbo wa Babu Ayubu kawaimba Maaskari, kwamba wanatuonea na kutupakazia kesi kibao.
 
Kuna mdau aliomba huu wimbo Princess Sheilla Nvannungi Alimshirikisha Q Chief
 

Attachments

Inagoma Ku play hata mm ninayo ila tatizo ni hilo hilo ukiipakua inaleta file badala ya alama ya mp3
 
Msaaada please

Kuna wimbo mmoja sijui ni wa Nani nautafuta saana, anaimba hivi:

Mtoto harufu mbaya imetawala mwilini,
Nipo njiani miaka mingi naelekea sayarini,
Navuka mito na mabonde ili nifike sayarini,
Nafsi yangu inanibana na wingi wa mitihani mama yeyeyeeeeee ×2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau natafuta wimbo wa Banana zorro ila jina lake siujui lakini unaimbwa hivi"Nimeamini kweli wanipendaaa ila moyoni....."Yeah anaeujua jina anisaidie wakuu.
 

Attachments

Kuna wimbo mmoja unaimbwa kila kona wana niita supa star Mimi sipebdi kuniita supa star sijui nimepatia wanavyoimba mana ni zamani kidogo kama so bandago basi wanaitwa tbt crew wimbo unaitwa kama sijakosea hivyo hivyo super star mwenye nao tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom