Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Ila wewe unatisha man.Daaaaaaah.
Mkuu, unajua kazi ambayo unaifanya hapa jukwaani sio ndogo hata kidogo kiongozi. Mie binafsi nathamini sana mchango wako.
Kwa sababu kuna nondo nyingine unaziweka hapa hata kwenye maktaba zangu huwa nazikosa mkuu. Kwa hiyo kazi unayoifanya hapa mie binafsi nai-appreciate kwa kiwango cha hali ya juu kabisa kiongozi wangu.
Much respekt bro.
👊🏽
Ila kuna wimbo mmoja hujanipa mpaka leo. Nataka wimbo wa Babu Ayubu kawaimba Maaskari, kwamba wanatuonea na kutupakazia kesi kibao.