barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mbona iko robo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona iko robo tu.
ninao ngoja niucheki...Kuna wimbo mmoja unaimbwa kila kona wana niita supa star Mimi sipebdi kuniita supa star sijui nimepatia wanavyoimba mana ni zamani kidogo kama so bandago basi wanaitwa tbt crew wimbo unaitwa kama sijakosea hivyo hivyo super star mwenye nao tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye Mzee wa Busara Remix, ile ya Nature na Inspekta tafadhali.
Ubarikiwe sana Braza.Huu hapa
Shukrani sana.Unaitwa "Wasi wasi
Shukrani sana.Unaitwa "Wasi wasi
Kuna wimbo mmoja unaimbwa kila kona wana niita supa star Mimi sipebdi kuniita supa star sijui nimepatia wanavyoimba mana ni zamani kidogo kama so bandago basi wanaitwa tbt crew wimbo unaitwa kama sijakosea hivyo hivyo super star mwenye nao tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
daah... ukiupata nitashukuru sana.. rton na mwasiti kama sikosei.Mwenye wimbo wa R-Tony_Lissa nauomba jmn.
hapana ni ngoma ya Sweet Sunday producer Dunga Studio imeshakufaga siku nyingi.Ndio ni ya kwake
sio drez huyi ni sweet sundayThanks aisee ila hii ngoma kwani ni ya Drezzy Chief mkuu...?
duuh. hao sio Neck Brackers kweli?. wakina yule aliye imba .
safari njema.Jay mo ,dudubaya na Complex- JINA NIMESAHAU
Complex anaanza hivi "Dudubaya nipe nafasi"
Kuna wimbo nafikiri alishirikishwa inspector haroun verse ya mwisho inspector anaongea kama muhubir anasema"wanaokula kuku moshi wote nawajua" na kuna mistari inasema "hizi ni siku za huku za mwisho ole wao waofanya mabaya" kama sijakosea naomba mwenye nao anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tenaShukrani sana.
hao ni wakina Oten enzi za kundi lao la Joint Mob. inaitwa Siku za Hukum Za Mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app