Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nazitafuta.
Mahabuba ya Chege ...
"nakupenda beib nakupenda kweli...
"
Lady Luu....
"akija kwangu atapata mahanjam hanjama atadata" natamani kuisikia sauti yake inaniita..

Tangazo by Bantu Mcz wakina Stiv Kabuye

Kaa Tayari ya Jose Mtambo

Kifo cha Nyani ya Mack Dee

Eeh Mola by Gorilla Killers ft Solid Ground Family,


Hamisi by Gorilla Killers,

Nataka niseme Mi by Neckbrackerz

wape vidonge vyao... suma g ft ommy g

zote ulizonazo za Waswahili Halisi... wazo la leo... pengo na haiwezekani ya sadat.

jiko limenuna by zigzag crue ft solo

baba jeni by solid

wanyamwezi hasili.. "mpenzi umenikimbia wakati naumwa, usiku wa manane ulingoja mi nakufa ili milele tusionane, sasa yamekukuta unaomba turudiane, sina muda mchafi mo ni bora niwe mjane.

hivyo ndivyo ilivyo by bjb

na amwisho lwa leo no Ngpma ya
Dataz ft Soggy Doggy... Sikutaki Tena






Sent using Jamii Forums mobile app
Karibia zote ninazo... Ila hiyo Eeh Mola ya Gorilla killers naitafuta sana, ukiipata nishtue mkuu!!
 
Habari wakuu
Tafadhali naomba hii nyimbo.
Solotheng ft juma nature_mambo ya pwani.

Shukrani.

Idimi
Kioo
Gwankaja
 
Kuna nyimbo moja ya kisauzi sijui jina lake lkn kwny chorus wanaimba neriaaa lkn sio neria ile ya oliver mtukudzi
 
Back
Top Bottom