Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
1)Naomba wimbo wa tabibu rmx wa mark dizzo ft juma nature
2)Mr 2 ft king kiki unaitwa hapo zamani kuacha huo wa miriam makeba wenyewe mr2 kaimba na king kiki
 
Kuna nyimbo ya mwanamama siijui jina Ila chorus anaimba "Leo ni vifijo na vigelegele,rohoni mwangu Raha Tele Tele,Ngoma uwanjani watu kedekede nii pendo ni pendo Tu" hapo linaingia solo guitar balaa.....watu na vipaji vyao jamani....
Sina uhakika kama Yule ni mtanzania Ila ametumia maneno mujarab ya Kiswahili,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dudubaya anakwambia
Tuliza kitenesi Fa Dudu tumalize kesi.....wambie mafansi x2

Kwenye wimbo unaitwa Hawajui-fa ft jay dee. Ila hiyo ngoma sjawah kuiskia asee

Sent using Jamii Forums mobile app
"Ni Vers mmoja Tu ya matawi ya juu...ni Vers mmoja ya Mimi na dudu ,ni Vers mmoja itakayo kufanya ugande kwani ukituchukia Sisi ni kama unabusu umeme"
Nyimbo ilikuwepo kwenye album ya mwanafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba hii.
Tholotheng ft juma necha_mambo ya pwani.

Thanks.
 
MWENYE NYIMBO HIZI ANISAIDIE
AY_______________INATEGEMEA NA MTU
_________________YULE
__________________NIPE NIKUPE FT PREZO
 

Attachments

Back
Top Bottom