Kuna wimbo nafikiri alishirikishwa inspector haroun verse ya mwisho inspector anaongea kama muhubir anasema"wanaokula kuku moshi wote nawajua" na kuna mistari inasema "hizi ni siku za huku za mwisho ole wao waofanya mabaya" kama sijakosea naomba mwenye nao anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

hao ni wakina Oten enzi za kundi lao la Joint Mob. inaitwa Siku za Hukum Za Mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazitafuta.
Mahabuba ya Chege ...
"nakupenda beib nakupenda kweli...
"
Lady Luu....
"akija kwangu atapata mahanjam hanjama atadata" natamani kuisikia sauti yake inaniita..

Tangazo by Bantu Mcz wakina Stiv Kabuye

Kaa Tayari ya Jose Mtambo

Kifo cha Nyani ya Mack Dee

Eeh Mola by Gorilla Killers ft Solid Ground Family,


Hamisi by Gorilla Killers,

Nataka niseme Mi by Neckbrackerz

wape vidonge vyao... suma g ft ommy g

zote ulizonazo za Waswahili Halisi... wazo la leo... pengo na haiwezekani ya sadat.

jiko limenuna by zigzag crue ft solo

baba jeni by solid

wanyamwezi hasili.. "mpenzi umenikimbia wakati naumwa, usiku wa manane ulingoja mi nakufa ili milele tusionane, sasa yamekukuta unaomba turudiane, sina muda mchafi mo ni bora niwe mjane.

hivyo ndivyo ilivyo by bjb

na amwisho lwa leo no Ngpma ya
Dataz ft Soggy Doggy... Sikutaki Tena






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…