Ndugu zangu kuna wimbo unaimbwa hivi YATOKEAPO MAKOSA TUSULUHISHE YAISHE HAIPENDEZI SI KUGOMBANA NAKUACHANA KABISAA kwenye hicho kiitikio kaitikia Chelea Man msaada wenu ndg
 
 

Attachments

Jamani mwenye wimbo wa werrason sebeni

Nafkiri kuna mdau aliwahi kukwambia kuwa, hayo masebene yapo mengi kwa hiyo ingekuwa vyema ungeweka jina halisi la sebene husika ili iwe rahisi kutambua ni sebene lipi unalolihitaji aisee.
 
Mkuu KIOO ubarikiwe sannaaaa... kwa kweli umetishaaa... wewe ni DJ nini mkuu? Mbona una kila nyimbo???
 
Mkuu KIOO ubarikiwe sannaaaa... kwa kweli umetishaaa... wewe ni DJ nini mkuu? Mbona una kila nyimbo???

Hahahahah. I appreciate mkuu.

Kiukweli sio DJ kiongozi wangu, ila tu nimetokea kuupenda sana muziki tangu udogoni kitu kilichopelekea kuangukia kuwa an artist broh.

Ila kiukweli napenda kuskiliza muziki wa aina yoyote ule ambao unavutia na kupenya kwa urahisi maskioni mwangu mkuu.

Thanks again & again bro.
 
Mwenye wimbo rap music flani wa'zamani uhusuo ukimwi,sikumbuki unaitwaje wala msaanii aliyeuimba lakini chorous inaimbwa hivi:

[emoji445]ni kizaa zaa,niwakati wa kujilinda saaasa.....utakoma.....utaenya[emoji445]
Jose Mtambo - Kidhaa dhaa ni wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaa thaa.
 
Kioo cha hits, ntumie nyimbo ya Jose mtambo na Maunda ile ya "Nafanya...Nafanya nachowezaaa"
 
Thanks for this major TBT bro! Nainjoy sana hizi beats za kitambo. Kuna ile "machoni kama watu" ndio ilikuwa inafuatana na hii kipindi hiko nipatoe nakala kama unayo bro
 
Mimi nyimbo hunisumbua kuipata kama siijui jina na aliyeiimba,nikishajua vitu hivyo viwili ni simple tu kuupakua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuipata utaipata ila sio Original MP3 file lazma utapata iliokuwa compressed toka kwenye video ambayo inakuwa kama chafu hivi! I personaly never enjoy that, ntahangaika hadi nipate ile ya CD quality!
 
Hio tommorrow bonge la pumbu mi pia naitaka, that was when Joh Makini was the illest! Sahivi anazingua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…