ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba nyimbo za watu pori kipindi wako pamoja afande sele, koba na ditto... nyimbo kama kioo cha jamii, na nyingine skumbuki ata zinaitwaje ila inaanza "watupori a.k.a washamba nyani wapya msitu wa zamani"
Naomba nyimbo ya monica ya ndala kasheba kama sikosei... mama nipe nauli nikamfuate monica amekimbia zambia kwa treni ya mizigo eehh..
Mwisho kabisa naombeni wimbo wa harusi ya kichagga ambao umekua mordenised na biti jipya unaitwa otereeeeeee.. nimeutafuta sana sijaupata. Natanguliza shukrani wakuu
Jamani mwenye wimbo wa werrason sebeni
Mkuu KIOO ubarikiwe sannaaaa... kwa kweli umetishaaa... wewe ni DJ nini mkuu? Mbona una kila nyimbo???
Jose Mtambo - Kidhaa dhaa ni wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaa thaa.Mwenye wimbo rap music flani wa'zamani uhusuo ukimwi,sikumbuki unaitwaje wala msaanii aliyeuimba lakini chorous inaimbwa hivi:
[emoji445]ni kizaa zaa,niwakati wa kujilinda saaasa.....utakoma.....utaenya[emoji445]
Kioo cha hits, ntumie nyimbo ya Jose mtambo na Maunda ile ya "Nafanya...Nafanya nachowezaaa"Hahahahah. I appreciate mkuu.
Kiukweli sio DJ kiongozi wangu, ila tu nimetokea kuupenda sana muziki tangu udogoni kitu kilichopelekea kuangukia kuwa an artist broh.
Ila kiukweli napenda kuskiliza muziki wa aina yoyote ule ambao unavutia na kupenya kwa urahisi maskioni mwangu mkuu.
Thanks again & again bro.
Kuipata utaipata ila sio Original MP3 file lazma utapata iliokuwa compressed toka kwenye video ambayo inakuwa kama chafu hivi! I personaly never enjoy that, ntahangaika hadi nipate ile ya CD quality!Mimi nyimbo hunisumbua kuipata kama siijui jina na aliyeiimba,nikishajua vitu hivyo viwili ni simple tu kuupakua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio tommorrow bonge la pumbu mi pia naitaka, that was when Joh Makini was the illest! Sahivi anazingua tuMsaada wakuu.
Nyimbo hizi.
Tommoro-joh makin
Kigwema nyimbo zoote bila kusahau ile anamchana star wa bongo aliyepigwa na mganga.
Jos mtambo nyimbo zoote.
Ngwair international mc
Mandojo na kaya ile mamis tanzania.
Joh makini ft bushoke. Every time i sing this song(si jina halisi)
Motra the future zoote.
Lord eyez obama.
Alafu kuna kanyimbo cha joh makin sikajui jina ila kana beat flan ya sampling.mm inaanza na kama kinanda hivi alafu demu anaita kwenye phone sauti flan ya wizi...
Alooo alooo.
Msaada wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app