Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Nahitaji ngoma 2 za Solo Thang Nilikupenda mwanzo na nyingine Mpenzi wakuu.
Hizi hapa man. EnjoyFerooz -barua
AT -nipigie
TMK -kazi ipo
GK -nitakufaje
Mh temba -maneno nawafunza
Wakali kwanza -natamani kumwita
Nakuna moja hivi siijui jina ila nakumbuka baadhi ya maneno yako hivi (kila mmoja ameshabadilisha njia lana/raha ya dunia) yapo kama hivyo mkuu KIOO Idimi gwankaja
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe sana mkuuHizi hapa man. Enjoy
Wimbo wa Mhe Temba (Maneno Nawafunza) sielewi nime misplace wapi, ila upo. Nitauweka hapa soon
Mh temba -maneno nawafunza
Wakali kwanza -natamani kumwita
Nakuna moja hivi siijui jina ila nakumbuka baadhi ya maneno yako hivi (kila mmoja ameshabadilisha njia lana/raha ya dunia) yapo kama hivyo mkuu KIOO Idimi gwankaja
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwekwa hapa nitag mkuu.. hilo goma nalikubali kinyama..Luna wimbo mmoja sikumbuki kaimba nani ila unaimbwa hivi "nimekufananisha we Dada nimekufananisha we sista ndio mana nimekuita" hiyo ni baadhi ya maneno kwenye kiitikio biti lake linataka kufanana na la kwenye wimbo nilonge nisilonge wa h mbizo nisaidieni tafadhali mwenye nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo huyu mzee ama?Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Kioo naomba wimbo unaoitwa boss nipe mshahara wangu sijui kaimba mdada gani vile nimemsahau jina
Sent using Jamii Forums mobile app