Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ferooz -barua
AT -nipigie
TMK -kazi ipo
GK -nitakufaje
Mh temba -maneno nawafunza
Wakali kwanza -natamani kumwita
Nakuna moja hivi siijui jina ila nakumbuka baadhi ya maneno yako hivi (kila mmoja ameshabadilisha njia lana/raha ya dunia) yapo kama hivyo mkuu KIOO Idimi gwankaja
Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hapa man. Enjoy
Wimbo wa Mhe Temba (Maneno Nawafunza) sielewi nime misplace wapi, ila upo. Nitauweka hapa soon
 

Attachments

NAOMBENI WIMBO WA TIP TOP FT RAY C UNAITWA NANI ANA THAMANI
CHORUS RAY C ANAIMBA:-
Mwingine yupo karibu mwingine Yupo mbalii nani ana thamani awekwe ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Luna wimbo mmoja sikumbuki kaimba nani ila unaimbwa hivi "nimekufananisha we Dada nimekufananisha we sista ndio mana nimekuita" hiyo ni baadhi ya maneno kwenye kiitikio biti lake linataka kufanana na la kwenye wimbo nilonge nisilonge wa h mbizo nisaidieni tafadhali mwenye nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwekwa hapa nitag mkuu.. hilo goma nalikubali kinyama..
 
Back
Top Bottom