Mimi natafuta nyimbo ya South Africa sijui imeimbwa na kina nani ila inasema

"Tala mapantulaa... Kitia matyotyaa.. Kitya matyotyaa... Saishobin nguluva...."

Nitafurahi sana kama ntapata hata link ya kuipata
 
Kazeze
Tumbo deni la dunia by uswahiliji matolaa
Kosa la marehemu

Na song fla i hivyo kuna mashairi kama “manka alikwepo mushi alikwepo” mangi flani hivi aliimba sikumbuki jina
 
Kazeze
Tumbo deni la dunia by uswahiliji matolaa
Kosa la marehemu

Na song fla i hivyo kuna mashairi kama “manka alikwepo mushi alikwepo” mangi flani hivi aliimba sikumbuki jina
 
Attachments

mzee mkubwa nigawie hiyo namba 6'7'na9🙏🙏
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…