Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
asante sana mkuu ila nikusumbue tena na hizi 1:haturapa _ mwanafa ft kwanza unit
baba msaada wa 1: king crazy gk ft jafary_ shika micUlimwengu ndio mama ilikuwa ni intro tu mkuu...sio wimbo!!
mkuu pia kama ngoma waliyoshirikiana Vivian na complex nimeisahau jina na Vivian ft duly Sykes inaitwa siwaelewe
Kioo vp hz nyimbo hazipo ????1.Nay wa mitego - mitego mp3 mwenye hii nyimbo tafadhari,
2.freestyle za nikkimbishi vs godzilla wakiwa clouds 2008 kwenye freestyle competition
Kuna kwaya tokea Mbeya, siijui jina. Iliimba wimbo "ufunuo wa Yohana kisiwani Patimo, aliyaona haya baada ya kuteswa sana,........."Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Wimbo gani huo!Ipo rubega.com lastfm easlafricantube
Kuna mtu aliomba wimbo alishirikishwa suma lee akasema hataki wa YouTube nikamwambia upo huko rubega na east African tubeWimbo gani huo!