Attachments

Kioo na wengine Naomba nyimbo ;
1. Muache aendezake by Suma Lee
2. Mademu wa leo by Suma G ft Suma Lee
3. Vituko uswahilini by Suma G.
 
Wakuu naombeni nyimbo za Zayb
Sister p, roho saba.. Natanguliza shukran'. Asante
 
Wajuba naulizia nyimbo zifuatazo
1. Helena toka kwa kundi moja mkoani Morogoro likiitwa PEAPEA entertainment
2. Vitu adimu yake Madmax
3. Nakutamani yake mwanaApolo video queen alikuwa Mainda yule msanii wa bongo movie zamani
4. Machozi iliyompa jina Hussein machozi alirekodia tetemesha wakati huo yuko Kagera
5. Kapu la mjanja sikumbuki band ila humo ndani yupo Eddie Sheggy.
6. Akili za pombe muimbaji simkumbuki ila chorus alipiga Mr. Ebbo
7. nyimbo zote za Taarab alizoimba mwana mama mwanahela na coast modern taarab.
8. Maridadi sana huu wimbo uliimbwa na kanjibai mmoja kama song hivi.
9. Mkuraba mkuraba unamashauri gani ya matona.
10. Nyimbo za Tongolanga kwa mwenye nazo pia.
 
Wakutoa sadaka ulioimbwa wakati raisi yupo mbeya akikusanya sadaka mwenye nao pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…