muntally ally
Member
- Apr 27, 2019
- 36
- 27
Wakuu kuna nyimbo nazikumbuka miztari kadhaa tu na ninazitafuta sana naombeni saada
1.nimekuzoea ukiniacha.......... mapenzi siyo pesa wala siyo ustaa
Alafu kwa mbele km kuna binti mmoja anaimba kwa mbele mwenye hii nyimbo anisaidie au hata jina tu km mnaijua
2. nashindwa
baby bila wewe mi siwezi
Hii nyimbo ni ya steve rnb lakini youtube sijaipata na sehemu nyingine siioni mwenye nayo anisaidie
Huo in wimbo wa kihindi anaoutaka Mimi in nao ila nashindwa kuuweka humu upo kwenye movie ya zamani inaitwa TRIDEV wimbo unaitwa GAJARNE HEYA INSHARA kama sijakosea mana matamshi ya kihindi magumu kutamkaNi wa kiingereza!?
Tazama post number 1089 utaukutaNaomba mnisaidie kupata wimbo ule wa UKIMWI alioimba Kapteni Komba.
Kwenye ile nyimbo kuna akina dada wanaitikia. Na sehemu nyingine Komba anaimba makaburini.
MKUU NISAIDIE NYIMBO ZA MBETELA SQUAD KAMA UNAZOAisee na mie leo naomba niombe wakuu.
Naomba ngoma 2 ya Chivalo_Unanikumbusha na ngoma ya kwanza ya Witness Wa Wakilisha kipindi anajiita Bad_Gear.
Natanguliza shukran. Thanks.
Asante sana hii nyimbo nilikuwa naitafuta sana bila mafanikioHiyo 1 ni ya Nemo.. Vumilia, pia ipo aliyoimba mdada..
Hiyo nimeshindwa ipo.. Nitaweka kesho
Mkuu itupie hii nimeshindwaHiyo 1 ni ya Nemo.. Vumilia, pia ipo aliyoimba mdada..
Hiyo nimeshindwa ipo.. Nitaweka kesho
daaa mkuu umenikumbusha mbali aseeemi natafuta ule wa ngoni tribe wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manunganyembe