Daniel Abed Shauri
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 259
- 172
Ninazo zote.. nimeshindwa kuziweka humu. Rmber bob marley.. mama aftica, scholar boy, na nyinginezo nyingi kama 11 hivi za hao jamaa.Wapendwa..kuna nyimbo za reggae za kundi furani lilitwa The Gladiator kutoka Jamaica na Ghana.album hiyo iliimba nyimbo nzuri sana na ilienda kwa jina la Remember Bob Marley.kama kuna mwenye hizo nyimbo tafadhari anisaidie
Asante sana man..... Nawatafuta na jamaa wakuitwaLeo tupate Album ya Masadali zigzag-BONGO MSOTO
Hata mm nikiupata nitafurahi sanaWakuu natafuta wimbo unaoibwa hivi
"welundu wenda chaali welundu wenda chaali weesaa boie mbeele weesa boie mbeele"
Sijui umeimbwa na makoma lakini jina la wimbo nimelisahau.
Tafadhali msaada wenu
Ninazo zote.. nimeshindwa kuziweka humu. Rmber bob marley.. mama aftica, scholar boy, na nyinginezo nyingi kama 11 hivi za hao jamaa.
Kama huyojali acha no ya simu nikutumie au inhia youtube tayari zipo kwa sasa.
Wakua nisaidien wimbo huu
Basi na mi nimo,kila kona ya mtaa na mi nimo
Naombeni hiiWakuu natafuta wimbo unaoibwa hivi
"welundu wenda chaali welundu wenda chaali weesaa boie mbeele weesa boie mbeele"
Sijui umeimbwa na makoma lakini jina la wimbo nimelisahau.
Tafadhali msaada wenu
Itakuwa wa jafarai na wnzake- inaitwa watu kibaoWakua nisaidien wimbo huu
Basi na mi nimo,kila kona ya mtaa na mi nimo
Mahotela Queens - Gazette.
Baucha - Nimo.Wakua nisaidien wimbo huu
Basi na mi nimo,kila kona ya mtaa na mi nimo
Nimemixx nyimbo. Ila Ninayo kwenye collction zangu hapa jina ndio linasumbua. Na namna yakupandisha.Mahotela Queens - Gazette.
Hiyo ya soda saidia kuipandisha humu ukiweza.