Natafuta nyimbo moja ya kibongo siijui jina lake lakn kuna video vixen mmoja anacheza balaa nyimbo ina mandhari ya nyimbo ya davido aye wapo mashambani hivi jamaa kama kafanana na matonya hivi, Anaejua jina la huu wimbo wadau nitashukuru!
Umeupata au bado
 
Tuko pamojaaa tunafanya kazi pamojaaa hakuna haja ya kutengana wakati mambo ndio kwanza yanafanaaa
 
Asante mkuu na ule wa gk mama feat fina mango unao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…