Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Ya Johnson Na jackson ft mr blueWakuu kuna nyimbo naitafuta lakini sijui inaitwaje wala nani aliyeimba inaimbwa hivi mamy usife moyo na yangu hali rizika na machache yaliyotayari kulimic penz lako sipo tayari umasikini na utajiri yote hali
Nimeitafuta sana nyimbo hii ya miaka ya 2010
Wadau mbona ngoma zingine za juzi tu na zipo Google zimejaa kwa kila blog?
Big dog pose ile nyimbo yao kumwambia naielewa sanaUnique sisters zote na big doggy ppse
ANAIMBA SIO KILA SIKU MAMBO BANG, BANG, SIO KILA SIKU MAMBO WA WA KUNA SIKU MAMBO SHAGALA BAGHALA ILA BINADAMU ANAPENDA RAHA,Nautafuta wimbo wa AY Ambene Yesaya - Sio kila kitu au unaitwa 'raha'. Anafanya tongue twisting flani. Kipindi ypo na CBM Crew
Sio hii.uliyoniambia
Walioaga dunia
Search Rafael by SigandaWimbo wa Yule jamaa aliimba kichga.. 'Ninamnagani tutaishi duniani mpaka siku tusema buriani@ Masawe alikuepo, manka, na yule Chuwa.. eti chuwa nae alikuepoooo
Aksante nimezipata.Naomba nyimbo za wagosi wakaya.
Tanga kunani.
Trafiki.
Kama hujazipata natumaini ndio hiziKuna nyimbo hizi nazitafuta sana
1: Anita -Matonya
2: Mbele yako - Afande sele
3: Maji ya shingo - Daz Nundaz
4: Bongo Dar es salaam - Prof J
5: Latifa - Mb Dogg
6: Siamini - Matonya
7 : Kamanda - Daz Nundaz
8: Mkuki Moyoni -Afande sele
9: Niko busy - Jafaray ft Daz Baba
10: Machozi - Lady JD
owkeyMwenye ako na song ya ester wasira
-Sheila
owkey
Mbona nilishaiweka hapa mkuu.