KIOO niwekee wimbo wa Jose Mtambo! Niliomba humu kwenye post za nyuma. Una kiitikio cha "heeya he" Jina lake hata silifahamu.
 
Wimbo unaitwa Juna ameshirikishwa Domo Kaya msanii mwenye wimbo simfahamu
 
Wimbo Wa Mabaga fresh unaitwa
-Hakuna noma wala ngendembwe wako na Mac D
-Wimbo Simulizi za ufasaha Wa Gangwe Mobb
 
Audio ya Wanna Be Happy by Kirk Franklin weka hapa Ni download sasa hivi please.
 
Mkuu kioo naomba unisaidie wimbo wa nash mc mapendo,nakumaind ya temba na usihukumu ya daz baba.
 
Habari ndugu zanguni leo Naomba msaada wa mwenye nyimbo zote za Fred Saganda, Yule jamaa alieimba nyimbo ya Rafael kwa lafudhi ya kichaga miaka kadhaa iliyopita.

Leo nikiwa nasikiliza radio mchana nimeskia track yake mpya ina story moja nzuri Sana jamaa napenda sana uandishi wake wa Vina na anavyonata na beat kwa lafudhi yake ya kichaga, jina la Nyimbo sijalishika vizuri Naomba sana kwa mwenye nazo azitupie hapa ntashukuru sana.

Cc KIOO
 
Natafuta wimbo unaitwa MIFUPA MIKAVU wa Magestic singers. Kama kuna mtu ana audio naomba anisaidie
 
Stereo singasinga ft man duke this time

Jamani Nautafuta sana huo
 
asante sana mkuu naamini hizo nyingine unazifanyia kazi

bila kusahau ule wa dani msimamo ft mkoloni _ aku
tid ft complex _ hii mic
 
Naomba mwenye nyimbo za remmy ongala SHIDA na nyingine MBELE KWA MBELE tafadhali arushe hapa
 
Kuna ngoma jina silijui ila Kuna kipande anaimba
"Japo kidogo kipato changu acha niteketeze mwenyewe salari yangu"
Mwenye nao tafadhali
 
Kioo tafadhali kama unao wimbo wa joti mbona usomeki nahiyaji video au audio please Fanya nakeke naona leo upo kimya sana
 
Naomba wimbo wa “Chegge & Temba Mkono Mmoja” wenye quality nzuri [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 

Attachments

Kioo tafadhali kama unao wimbo wa joti mbona usomeki nahiyaji video au audio please Fanya nakeke naona leo upo kimya sana

Video mbona ipo You Tube fanya upitie U-Tube aisee.

Yeah, jana nilikuwa kimya mambo yaliingiliana kidogo, ila nilipita tu kimya kimya hapa.

2KOPA1.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…