Attachments

niorodhoshee nikutumie mkuu

Majina ni changamoto, ila ninaweza kuweka lyrics:-
  • Yesu alipokuwa ameketi mlimani Mizeituni, wanafunzi walimwendea wakamuuliza, tuambie mambo haya yatakuwa lini...
  • Nitayainua, macho yangu, nitazame mlima, msaada wangu utatoka wapi...
Kwa kuanza naomba hizi.
 
Nyimbo za kikatoliki zote zinafanana .Ukisikiliza wimbo mmoja unatosha..Zingine huhitaji sababu beat uimbaji Ni ule ule .Tafuta wimbo mmoja uwe huo huo unaurudia rudia kuupiga.Sababu hata ununue nyimbo Mia za kwaya za Katoliki wanachotofautiana Ni maneno tu yaliyoko kwenye nyimbo Lakini beats na uimbaji Ni huohuo waweza ishia tu kusinzia ukizisikiliza.Yaani uimbaji wa hizo nyimbo ukisikiliza Zina tabia ya kumlaza mtu usingizi.Zimekaa Kama nyimbo za mazishi.
 
Don Clericuzio, post: 31801591, member: 467482 akikutumia kama utakuwa unauhitaji na mm ntakutumia maana nna nyimbo za roman 100+

Mkuu unapatikana wapi? Mimi niko Dar, kama uko hapa jijini naweza kukutafuta nichukue kwa flash.
 

Sasa mkuu, ushauri wako tumeupokea lakini hatutaufanyia kazi.
 
SIO KWELI
 
HAPO NNAYO MOJA, HIYO YA PILI (sema ile aliyoimba STEVEN KANUMBA {RIP} )
 
Ziweke hata mbili wataalamu wa nyimbo wazichambue kuanzIa beat sauti nk .Weka hapa zozote
BWANA ALIKUWA TEGEMEO LANGU
MSHIPI
KIDOLE JUU
NOTA MPAKA MBINGUNI
HALELUYA AMEFUFUKA
NIKIZIANGALIA MBINGU
NIMEPIGA SHETANI CHENGA YA MWILI
NIMETAFAKARI HABARI ZAKO
SIO KWAMBA NIMESHAFIKA
ENYI WATU WOTE PIGENI MAKOFI
MVUA INARUTUBISHA VITU VYOTE
MIMINA NEEMA
 
Hahaha

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…