AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
hahaha nimeukumbuka ila jina sasa duh😆😆😆 nyimbo zote kali za "Genge" ninazo ila huo ndio sina ngoja niusake.Wakuu kuna nyimbo 1 ya jamaa wa kenya anaitwa Lenny km sjakosea, chorus yake ni "sasa bebigal, sio kamdigida nataka nikutach, nimekutafuta kwa shidaa sio kamdigida nataka nikutach"
Nna miaka zaid ya 5 nausaka huu wimbo bila mafanikio
Cc KIOO
Mkuu KIOO naomba ngoma kama 5 za Hip Hop za mbele zilizopo kwenye playlist yako japo nipate feelings zako mkuu.
Ok ni nyimbo ya sqeeza inautwa nitoke vipi au hata nikipata nyimbo zake kama tano tu rohoyangu itasuuzika mkuu pamoja na marehem langa nikipata hata tano tu leo ntaenjoy kabisaMkuu sijui nimekukosea nini ndughyangu yaani nyimbo zoote nilizo kuomba hujanitumia hata moja yaani,wenzangu wanakuja nyuma unawatumia kulikoni??niliomba nyimbo za sqeeza na langa naona kimya tu.
Ok ni nyimbo ya sqeeza inautwa nitoke vipi au hata nikipata nyimbo zake kama tano tu rohoyangu itasuuzika mkuu pamoja na marehem langa nikipata hata tano tu leo ntaenjoy kabisa
Nataka ule wimbo wa redio Uhuru wa kipindi cha magazeti.."nawapa hongera waandishi wetu..wa magazeti ya Africa mashariki"