Shomary Byellah dunia
JF-Expert Member
- Oct 21, 2018
- 209
- 62
Mimi ninao nashindwa kuu upload humuNaomba Wimbo WA farida upendo WA mama
Rackaz crew - rockaz anthem nautafuta sana. Producer ni Lamar
kuna wimbo unaniijia kwa kichwaSiujui jina lakini una chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...
Umeikuta?KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE
kuna wimbo unaniijia kwa kichwa
tutulie wangu mpz, mi ni wako daima
wasikutishe kwa maneno mi ni wako daima
tulia wangu mpz nami nipate tulia.
Umeikuta?
Nioe song la t pain shawn
Bui bui _ sijali mabaya
Jay Z - waiting for you
Soggy doggy - Napigiza pande zote mbili.
Q -Chief ft Mangweha - Sorry
Mkuu kioo sorry hivi una nyimbo za gospel mkuu!??