Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
@kioo
Mkuu KIOO natafuta nyimbo za soul and face. Hawa ni vijana waliokuwa wakiimba R&B miaka ile ya 2000 mwanzoni. Kama hutajali naomba nyimbo zao zote ulizonazo maana hata majina sizikumbuki.
@kioo
 
Siujui jina lakini una chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...
kuna wimbo unaniijia kwa kichwa

tutulie wangu mpz, mi ni wako daima
wasikutishe kwa maneno mi ni wako daima
tulia wangu mpz nami nipate tulia.
 
Mwwnye huu winbo

Stereo chundabad ft duke - this time

*Stereo wa lunduno
 
Heshma kwako kioo saluti mzee

Jamani mwenye nyimbo za fid q naomba ata albam zake zote
 
KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE
Umeikuta?
 

Attachments

Back
Top Bottom