Au ndio wewe nini umepoteza nyimbo zako aisee...?

πŸ˜€
Hapana Kaka Sio Mimi... Mwanangu Mimi Napenda Sana Mziki Asee.. Na Napenda Ngoma Za Kitambo Miaka Ya 2000's Hv.. Yaani Nikikutajia PlayList Yangu Utasema Yes.. Na Hapa Nimedanlod Ngoma Zaidi Ya 800...

Mwanangu Umetisha Kinyama.. Yaan Nawaza One Day Nije Nikucheki Nibebe Ngoma Hizo
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Kwa majina naitwa prem natafuta nyimbo ambayo siijui jina wala msanii

Lkn niliona video yake inaanza na mtu anatokea kwenye kitu kama mtungi huku anapuliza kitu kama filimbi hivi

Asanteni saana
 
Naomba uniambie Tell me maa
Usinifiche uniambie Tell me maa

Naona mda unazidi kwenda Lady
Na masiku yanakatika baby

Sijajua kipi unataka kunambia Nambiee
nambie mpenzi ●

Mwenye huu wimbo anisaidie hapa wakuu, simkumbuk jina alieimba ila wimbo unaitwa Tell me kama sijakosea .
 
 

Attachments

Mkuu Kioo ngoma ya Enika barid kama hili npate vitu vya Roy toka G2 record
 
Natafuta wimbo wa huu jamaa mlemavu zamani alikuwa mzima kabisa anaitwa Jetman niliomba wimbo wake mkatuma wimbo tofauti wa monalisa anatingisha
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…