Simply Kaiza
Member
- Nov 7, 2017
- 36
- 24
Mwanangu Naomba Nyimbo Za K Sal Kama Unazo..ishawekwa humu mara kibao! peruzi utaaikuta
HUO WIMBO UNAITWA INDIAN FLUIT (FILIMBI ZA KIHINDI) UMEIMBWA NA TIMBERLAND FT MAGOO UKIINGIA YOU TUBE UTAUPATAKwa majina naitwa prem natafuta nyimbo ambayo siijui jina wala msanii
Lkn niliona video yake inaanza na mtu anatokea kwenye kitu kama mtungi huku anapuliza kitu kama filimbi hivi
Asanteni saana
Naomba ngoma hizi mkuu kioo nimetafuta sana sijui kama nitazipata
1. Usingizi soggy dog
2.Tmk manyigu mkao wa kula
3.squezer Mwisho wa mwezi
4.LWP Starehe gharama
5.Dudu baya ft stara thomas sikutaka
6.rich one Sauti yangu
7.unique sisters namtafuta
8.Moto unafuka dogo flani aliimba na bizman
Mzee heshima kwako aisee yani daa nimepata ngoma zote nilizokuwa nazi hitaji kupitia ww vp kwa hizo hapo tutafanikiwa mkuuHahahahah kwanza niambie tezi TEZI JIKE ndio linakuaje mkuu...?
Siunajua kila dume lazima iwe na jike yake sasa wataalamu wanaishia kutuambia tezi dume why ikose jike yake kwaiyo kina mama wajiandae tu tezi jike inakujaHahahahah kwanza niambie tezi TEZI JIKE ndio linakuaje mkuu...?
So thanks jombaaHUO WIMBO UNAITWA INDIAN FLUIT (FILIMBI ZA KIHINDI) UMEIMBWA NA TIMBERLAND FT MAGOO UKIINGIA YOU TUBE UTAUPATA
Wee kweli New Member karibu sana JF...!
Gwankaja nikirudi kutoka katika mashimo ya mfalme suleimaan sintakusahau na huyu bwana mkuu kioo.
Niombeeni dua nirudi salama.