Habari gani wadau, natafuta wimbo wa fid q ft nuruelly.. wenye chorus yenye maneno haya ''Taratibu nasema bado, tunajirusha na mambo bado, kwenye mikito ya adoado, na madj wako gado''

Mwenye huo wimbo naomba msaada wake plz
Huu hapa man. Enjoy
 

Attachments

Wakuu naombeni wimbo flani wa bongo fleva ulitoka muda kidogo nimeusahau ila nakumbuka maneni haya "umezaliwa kwenye dunia hii, ukapewa kila kitu maa, wacha waseme hawakufaii"...
Idimi
 
Kuna wimbo mmoja unaimba hivi " nilidhani mkombozi maishami mwangu sikujua kumbe damu yangu majeraha kwenye moyo wangu ooooh" Artist simjui, nimepitia list yote sijafanikiwa kuupata. Msaada wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Mwenye nyimbo 2 za madilu systeme
1.COLONISATION
2.EMANUELE SAMUELE
 
Natafuta nyimbo za Nuruely_(1) Mimi narudi nyumbani (2) Wewe nifuate Maaa.

Nahisi kwenye majini siko sahihi sana ila ndani ya nyimbo hizo mbili mashairi ya namna nilivyoandika hapo juu.

Msaada tafadhali kwani nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…