Mi kuna wimbo mmoja wa kitambo nautafuta kuna kipande anaimba "forgive me baby"
 
Sio Bushoke huyo. Ni Maliki akimshirikisha Q chief
Naomba nitafutie wimbo wa Ray C FT Mr Blue unaitwa "nilipokutana nae"
Uko kwenye albamu ya Na wewe milele.
Pia nitafutie wimbo wa "baba mkwe" uliimbwa na Papy Kocha akiwa TOT Plus

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 

Attachments

I wish ningekutumia salio brother. Daaah asante sana. Umenipatia nyimbo mbili nilizokuwa nazitafuta kinyama. Sante kaka[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Pamoja sana kamanda. Hata thanks tu inatosha man
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nilisha upload kwenye page za nyuma. Tumia JF search engine hapo juu [emoji121][emoji121][emoji121] utaupata.
Nyimbo za pigblack ikiwemo nini mnataķa mazee, nisikilize mi. Tafadharimi
 
Naombeni original version ya "nataka niwe nawe" umeimbwa na Banana Zoro na band yake, sio ule wa live u tube.
Nataka niwe nawe mpenzi wangu kila siku....nataka nikuone mpenzi wangu kila siku..lakini tatizo huonekani....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu hapa. Enjoy. Unaitwa Prison
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…