fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Bushoke uyo ila jina la wimbo sjui unaitwaje na ushawahi kuwekwa humuMzuri ameumbika mzuri kama malaika mm kwake nimefika NAUTAFUTA KINOMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bushoke uyo ila jina la wimbo sjui unaitwaje na ushawahi kuwekwa humuMzuri ameumbika mzuri kama malaika mm kwake nimefika NAUTAFUTA KINOMA
Sio Bushoke huyo. Ni Maliki akimshirikisha Q chiefBushoke uyo ila jina la wimbo sjui unaitwaje na ushawahi kuwekwa humu
Aaah mi nlijua ni bushoke ana wimbo mmoja upo kama hvoSio Bushoke huyo. Ni Maliki akimshirikisha Q chief
Naomba nitafutie wimbo wa Ray C FT Mr Blue unaitwa "nilipokutana nae"Sio Bushoke huyo. Ni Maliki akimshirikisha Q chief
Asee Kwema!! Mie Naomba Ngoma Za wale Jamaa Wa Fagio La Chuma Zote, Ngoma Za K sal Zote PiaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Naomba Pia Ngoma Za Gheto Boyz...Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hizi hapa. Hangaika nazoAsee Kwema!! Mie Naomba Ngoma Za wale Jamaa Wa Fagio La Chuma Zote, Ngoma Za K sal Zote Pia
Twende kaziNaomba nitafutie wimbo wa Ray C FT Mr Blue unaitwa "nilipokutana nae"
Uko kwenye albamu ya Na wewe milele.
Pia nitafutie wimbo wa "baba mkwe" uliimbwa na Papy Kocha akiwa TOT Plus
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
I wish ningekutumia salio brother. Daaah asante sana. Umenipatia nyimbo mbili nilizokuwa nazitafuta kinyama. Sante kaka[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Twende kazi
Pamoja sana kamanda. Hata thanks tu inatosha manI wish ningekutumia salio brother. Daaah asante sana. Umenipatia nyimbo mbili nilizokuwa nazitafuta kinyama. Sante kaka[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Thanks Much AseeHizi hapa. Hangaika nazo
Nyimbo za pigblack ikiwemo nini mnataķa mazee, nisikilize mi. Tafadharimi
Nimeuweka kwenye post #9897 page 495 hapo juu. Bado wa moto motoHip hop Mdundiko-Benjamin
Huu hapa. EnjoyNatafuta wimbo wa AT ft Alikiba & queen darlin .....kwanini umenipenda mimi! ni old vibe ambayo verse ya Alikiba nilikuwa naielewa mno
Wimbo wa Michael Learns to Rock. Huu hapa. Enjoywakuu nisaidieni hiyo nyimbo kwny hiyo clip asee nyimbo tamu sana
View attachment 1463829
Huu hapa. Enjoy. Unaitwa PrisonNatafuta wimbo ulioimbwa na FM Academia unaitwa "JELA" ulitungwa na marehemu Ndanda Kosovo.
Wimbo huu ulitungwa baada ya wanamuziki wa bendi hiyo kuingia nchini bila vibali hivyo wakaishia kwenye mikono ya dola, baada ya kutoka kwao ndio wakatoa hit song hiyo!
Nitashukuru kama nitaupata maana nimeutafuta sana bila mafanikio! Ahsanteni