Nahisi Marijani Rajabu ameimba huu wimbo, sina uhakika na jina japo kiitikio ni ' njoo mnichukue haraka'Kuna wimbo wa zilipendwa,.una maneno haya
✓Kitanda kipo wananilaza chini
✓chakula kipo wananipa makombo
✓wazazi fanyeni haraka mje mnichukue
Thanks man ume kubari kuplayHuu hapa. Enjoy
Pamoja sana nduguThanks man ume kubari kuplay
Nimeuweka hapo juuMwenye wimbo wa Maya alio imba marehemu mafumi bilali kipindi kile ulikuwa ukipigwa sana kwenye chaneli ya ITV two (ITV2)
Thanks man nimeuona, Sasa kuna wimbo mmoja hv, aliimba lady Jay D, sikumbuki jina ila ni mwaka 1999-2001 hapo kati, unaanza hv,Nimeuweka hapo juu
Ule wimbo wameimba na FANANI. Umetisha sanaThanks man nimeuona, Sasa kuna wimbo mmoja hv, aliimba lady Jay D, sikumbuki jina ila ni mwaka 1999-2001 hapo kati, unaanza hv,
Sijui nisema niinii ili ujue kama penzi langu kwako lipo kiuhakika, seeema unacho taka, oomba utapata,.. …......
Halafu kiitikio anasema, Lugha kweeetu si sababu, dini kweetu sisababu kupendana kama ukitaaaka... X2
Hii kitu naisaka sana, nimoja kati ya ngoma za jide za kwanzap kabsa
Hahahaha dah salute kwako man nawe umetisha sanaaa.....! Si wengne wazee wa old school man....Ule wimbo wameimba na FANANI. Umetisha sana
Nakuongezea na mwingine alioimba na marehemu D Rob. Huu hapa man. Enjoy.
Pamoja ana ndgHahahaha dah salute kwako man nawe umetisha sanaaa.....! Si wengne wazee wa old school man....
Kuna ngoma nyingne nime ikumbuka man, inaitwa *Kibisa* hahaha ngoja nikupe mistari kadhaa,Pamoja ana ndg
Ocg- kazezeKuna ngoma nyingne nime ikumbuka man, inaitwa *Kibisa* hahaha ngoja nikupe mistari kadhaa,
Ilikuwa saaabaa kasooorooobo, eebwana shee mbwana, alikuwa akihadhini, allah uwakibar, allah uwakibar... Akimaanisha enyi ndugu zangu twendeni tuka msujudie tuka mwabudie........ Hahah
Kiitikio, gonjwa hili limezua kizaa zaaa mzoo gumzoo kwa mabronzoo.... Basi ngoja niishie hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sure man nimesha ishusha.... Hata sana old schoolOcg- kazeze
Naomba wimbo wa ngwair amesampo wimbo wa marekani..nakumbuka kunasehemu anasema tunakura raha Hadi six in the morning..Huu hapa. Enjoy
King Kester Emeneya. Nyimbo inaitwa NzinziKuna wimbo wa kicongo miaka ya 90 unakibwagizo KIDEKULEEE EIMAAMA KIDEKULEEE sijui kaimba nani nautafuta sana
Nitafutie "mama" sung by Tanzanian rapper called MasterbrossHakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.