Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo wa zilipendwa,.una maneno haya

✓Kitanda kipo wananilaza chini
✓chakula kipo wananipa makombo
✓wazazi fanyeni haraka mje mnichukue
Nahisi Marijani Rajabu ameimba huu wimbo, sina uhakika na jina japo kiitikio ni ' njoo mnichukue haraka'

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Nimeuweka hapo juu
Thanks man nimeuona, Sasa kuna wimbo mmoja hv, aliimba lady Jay D, sikumbuki jina ila ni mwaka 1999-2001 hapo kati, unaanza hv,
Sijui nisema niinii ili ujue kama penzi langu kwako lipo kiuhakika, seeema unacho taka, oomba utapata,.. …......
Halafu kiitikio anasema, Lugha kweeetu si sababu, dini kweetu sisababu kupendana kama ukitaaaka... X2

Hii kitu naisaka sana, nimoja kati ya ngoma za jide za kwanzap kabsa
 
Ule wimbo wameimba na FANANI. Umetisha sana
Nakuongezea na mwingine alioimba na marehemu D Rob. Huu hapa man. Enjoy.
 
Attachments

Hahahaha dah salute kwako man nawe umetisha sanaaa.....! Si wengne wazee wa old school man....
 
Pamoja ana ndg
Kuna ngoma nyingne nime ikumbuka man, inaitwa *Kibisa* hahaha ngoja nikupe mistari kadhaa,

Ilikuwa saaabaa kasooorooobo, eebwana shee mbwana, alikuwa akihadhini, allah uwakibar, allah uwakibar... Akimaanisha enyi ndugu zangu twendeni tuka msujudie tuka mwabudie........ Hahah

Kiitikio, gonjwa hili limezua kizaa zaaa mzoo gumzoo kwa mabronzoo.... Basi ngoja niishie hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ocg- kazeze
 
Wakuu naomba mwenye wimbo wa mwaka wa tabu ulioimbwa na Ally Choki.
 
Mwenye huu wimbo wakuu, ''ni pendo'' wa Carola Kinasha.

Mwingine si ufaham Jina, kama sijakosea ulikuwa ukiimbwa 'Njenje oh njenje, njenje oh njenje, njenje oh njenje...kanyoa kipara ngoto njenje..''
 
Back
Top Bottom