Twende kazi. Enjoy
Mkuu, kama unao pia wimbo uliimbwa na hawa TOT Plus wakiwemo Abuu Misambano, Badi Bakule na Paulin Zongo. Wimbo ulikua unaimbwa hivi
"Oooooh usilie na mimi babaaa,
Mpenzi wako mimi sijamwita eeh,
Kaona mambo wewe huyaweziiii,
Ndipo kaja kwangu"
 
Wakuu natafuta wimbo wa zamani uliimbwa na Ochestre Safari Sound wana Ndekule muimbaji nafikiri ni Fresh Jumbe una maneno haya...
Nimekuita nikueleze mwanangu
Maisha ni magumu sana siku hizi
Unadharau masomo unategemea nini baba yako ni fukara mimi
Acha tamaa dunia ni hadaa ulimwengu ni shujaa
Soma shule nitaazima kila kitu kukuhudumia wewe mwanangu,somaa.

Mwenye nao msaada tafadhali.
 
kuna ngoma moja ya tash yule chalii wa arusha inaitwa AU
nfanyie mchakato mkuu utatisha sana
 
Kuna nyimbo kadhaa za jagwa music, nimesahau zilikuwa ni post namba ngapi! Mwenye kuiona, anitajie tafadhali.
 
Djadja by aya namakura

Mwenye huu wimbo msaada tafadhali
 
Latifa wewe, Latifa wewe, Latifa wewe rudi nyumbani huo uzuri wa sura yako walikuwepo kitamboo..

Wakati mwingine naoota, uko uliko unateseka, mawazo mengi nawaza ivi ni lini ntakuona..

Dah huu wimbo nimeusaka sana anaeweza kuufahamu anisaidie, apo juu ni baadhi ya mistari iliyomo ata aliyeimba simjui ila ni wazaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…