Mwenye huu wimbo wakuu, ''ni pendo'' wa Carola Kinasha.
Mwingine si ufaham Jina, kama sijakosea ulikuwa ukiimbwa 'Njenje oh njenje, njenje oh njenje, njenje oh njenje...kanyoa kipara ngoto njenje..''
Nimeupata ila nimeshindwa kudowload msaada kwa wakali Wa kudownload. Download halafu utupie humu tafadhalijackson benty barua kwako mpenzi
AUDIO: Sista P - Hey DJ DOWNLOADKuna wimbo wa Sister P unaanza na "Hey Hey Dj fanya mavitu watu wawe crazy piga bongo fleva nasi tuje......" niliusaka siku bahati mbaya Youtube waliufuta kutokana na Copyright issue! Mwenye nao anisaidie....na kuna mdau kaomba audio ya ishi stars usione soo hii ninayo shida inagoma kuupload nitajaribu kwa laptop nione kama itakubali...
Natafuta MWAKA WA TABU - Ally Choki[emoji2369]Hakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.
Mimi anisaidie wimbo Wa unique sisters unaitwa SIKUTAKA OriginalNatafuta MWAKA WA TABU - Ally Choki[emoji2369]
R tonny lisaNatafuta MWAKA WA TABU - Ally Choki[emoji2369]
Unashabikia simba nini!? Mana wao ndio wana tabu sana mwaka huu kwa kukutana na Yanga ha ha ha ha. N ways nadhani wadau watafanya mamboNatafuta MWAKA WA TABU - Ally Choki[emoji2369]
Upo humu..page ndio mtihaniNatafuta MWAKA WA TABU - Ally Choki[emoji2369]