Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Amen[emoji120]Wow! Stay blessed nimeupata
Daz Nundaz ft Juma nature - MatatizoNaombeni wimbo wa "matatizo kotekote" una kiitikio cha wimbo wa lady jaydee....ni wa rap zamani kidogo 2000+ na kitu
Naombeni wimbo wa "matatizo kotekote" una kiitikio cha wimbo wa lady jaydee....ni wa rap zamani kidogo 2000+ na kitu
Jos mtambo ft babuu wa kitaa, Ngwea,Mchomvu,Fid Q - Bata boyWakuu habari za sahv kuna nyimbo ya Adam mchomvu ft fid q- bata sina uhakika kama ndo hilo jina ila mwenye nayo naomba anisababishie.....
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Ok Nitumie hyo kama unayo manJos mtambo ft babuu wa kitaa, Ngwea,Mchomvu,Fid Q - Bata boy
Kuweka hapa Ni mtihani mzee, ingia Videorder ipo,downloadOk Nitumie hyo kama unayo man
hats mm nausaka mkuu
mi natafuta ule wa ngoni tribe wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manunganyembe
Unaitwa nadhifaLatifa wewe, Latifa wewe, Latifa wewe rudi nyumbani huo uzuri wa sura yako walikuwepo kitamboo..
Wakati mwingine naoota, uko uliko unateseka, mawazo mengi nawaza ivi ni lini ntakuona..
Dah huu wimbo nimeusaka sana anaeweza kuufahamu anisaidie, apo juu ni baadhi ya mistari iliyomo ata aliyeimba simjui ila ni wazaman