Ndugu unaikumbuka Kuna bendi ilkua miaka ya 2005 ilkua inaitwa kata kiuHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Mimi natafuta wimbo wa keisha unaitwa sheila sheilaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
ni ester wasira - sheilaMimi natafuta wimbo wa keisha unaitwa sheila sheila
Asante sana mdau kwa huu wimboni ester wasira - sheila
MGENI - KAPTENI KOMBAHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Kocha wa dunia, Muumini MwinyijumaNaomba kujua jina la wimbo na wa/mwimbaji wa wimbo huu wa zamani(zilipendwa) wenye maneno haya ndani yake;
“Kule bagamoyo kulee,kule bagamoyo kuleee,
Kuna mandege meupe”
Ahsante!
Kocha wa dunia, Muumini Mwinyijuma
Naomba instrumental/beat ya wimbo wa zahara destinyHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.