Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
1. Jingle iliyotumika kwenye kipindi cha mapenz redio one

2. Squizzer na wakoloni (wakijiita Dunia ya tatu). Kama una nyimbo zao zote walizofanya pamoja.

3. Albam za Xplasters

Secret Star
 
Naomba kujua jina la wimbo na wa/mwimbaji wa wimbo huu wa zamani(zilipendwa) wenye maneno haya ndani yake;
“Kule bagamoyo kulee,kule bagamoyo kuleee,
Kuna mandege meupe”

Ahsante!
 
Naomba kujua jina la wimbo na wa/mwimbaji wa wimbo huu wa zamani(zilipendwa) wenye maneno haya ndani yake;
“Kule bagamoyo kulee,kule bagamoyo kuleee,
Kuna mandege meupe”

Ahsante!
Kocha wa dunia, Muumini Mwinyijuma
 
Natafuta wimbo wa bongo flavor upo katika mahadhi ya ragger unaitwa Mwamvuli. Shukrani
 
Nan ana wimbo wa "BARABARA KAJIMA NILIJIKATA NA CHUPA KWA UTAMU WA...." uliimbwa miaka ya 1990 kwa maneno ya "kikubwa tupu" na mwimbaji alikuwa mdada akiimba kwa lafudhi ya kimombasa/pwani.
 
Acha mimi niende BY MezB...
Mwenye nao autupie humu
 
Back
Top Bottom