Kuna jamaa anaitwa D nob nahisi ndo huy nilikuw mdg Sana those day
 
Duhh Mkuu hii ngoma ilitoka mwaka 2000 mwanzon kabisa n moja za ngoma zilizomfanya juma nature ang'are katika soko la Bongo fleva
Kweli kabisa nakumbuka mm kipindi hiko nipo darasa kama la kwanza au vidudu sasa Kaka angu alikuwa anaipenda sana kwa bahati mbaya amekufa tayari basi nikiisikia hii nyimbo huwa namkumbuka yeye
 
Nishike mkono -k Lynn (original version)
 
Hello mambo vipi naomba unifatutie wimbo wa marehem taarb mariam khamis lindima lindima
 
Wimbo wa T.O.T band chini ya utunzi wake komba (R.I.P) unaitwa TUNAJIVUNIA kama sikosei. naupenda sana lakini nautafuta siupati
 
Wadau Kuna wimbo mmoja wa singeli sio wa siku nyingi Ila unabamba sana na sijui kaimba nani.Anaimba;"Khadija mbona hutokei we mamie,nshachoka kuchoreshana we nambie".
N.B
Jina hadija nmeweka tu Ila sio halisi.Añaoufaham anisaidie.Unabamba sana saiv
 
Inaitwa:nakuja
Msanii:balaa mc
Remix :balaa mc ft mariooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…