Nina nyimbo nyingi za MP3 za aina mbalimbali Zilipendwa, Bakulutu, Bongo Flavour, Charanga, Reggae, Twist, Kwaya, Taarab, R&B, Mduwara, nyimbo za Kihindi, Kiarabu nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Salama mkuu!

Mimi natafuta wimbo wa kwaya unaitwa pesa ambao pia ndio ulibeba jina hiyo Album, kasha la kanda yao lilikuwa na picha ya noti ya sh. 500 ni album ya 1995 kama kumbukumbu zangu siko sawa.
 
wakuu mwenye nyimbo hiz pliiz naomba nimezitafuta sana
kaka yuko town by university corner
Nataka by wandago family ft Dolo
Nimekufananisha by Top T matanguliza shukrani wakuu
 
Natafuta wimbo wa Sanura, sijui umeimbwa na msanii gani wa Tanzania,ila sauti yake ni kama ya Tongolanga wa Makondeko Musica.

Baadhi ya verse zake ni


'Sanura umeumbika,
kwako nimefika mwisho kwa kupenda,
Mtamaliza maneno,
Na mwisho wake vitendo,
Kinacho muweka kwangu,
ni siri ya moyo wakeeeee!
 
Nyimbo naitafuta. Lyrics zinasema
"Always on my mind, and you drive me crazy,
When you touch me here and you touch me there,
I'm losing my mind". Imeimbwa na mdada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…