Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Wakuu! Natumaini mu wazima
Nina shida na kwaito "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii.
Nimefanikiwa kupata ngoma moja tu "Ndifuna wena"
Naomba nisaidiwe majina ya hizo Kwaito/artist
Kumbuka: Zilizosumbua Bongo hivi karibuni

Arthur _ZomboWakuu! Natumaini mu wazima
Nina shida na kwaito "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii.
Nimefanikiwa kupata ngoma moja tu "Ndifuna wena"
Naomba nisaidiwe majina ya hizo Kwaito/artist
Kumbuka: Zilizosumbua Bongo hivi karibuni
Asante sana mkuu.
Shukrani sanaArthur _Zombo
NinaoWadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
Twanga pepeta_passwordWakuu kwema
Naomba nyimbo zifuatazo either majina ya mwimbaji au jina la wimbo
"Kama dada wanipenda, kaninunulie zeze nikilala kitandani, zeze lanibembeleza. Aaah amina choma choma kubaya, choma choma mmeo"
Nyingine inaimbwa "nina mdodo wangu eeee...
Naangusha moja moja leo...
Inama inuka ooo....
Naangusha moja moja leo"
Asante sana mkuu nimeipata, bado hii yaTwanga pepeta_password
African Revolution Band--Chande (Muumini Mwinjuma)Asante sana mkuu nimeipata, bado hii ya
"Kama dada wanipenda, kaninunulie zeze nikilala kitandani, zeze lanibembeleza. Aaah amina choma choma kubaya, choma choma mmeo"
Asante sana BONAVENTURE KACHILAAfrican Revolution Band--Chande (Muumini Mwinjuma)