Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Wakuu! Natumaini mu wazima
Nina shida na kwaito "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii.
Nimefanikiwa kupata ngoma moja tu "Ndifuna wena"
Naomba nisaidiwe majina ya hizo Kwaito/artist
Kumbuka: Zilizosumbua Bongo hivi karibuni