Nisikilize me-PigBlack.
Mtoto wa mjini-PigBlack.
Nini mnataka mazee-PigBlack
Wakuu,kuna wimbo fulani wa kizamani aliimba mama/dada fulani, ni wimbo filani hivi wa taratibu na wa kubembeleza, kwenye korasi anasikika kama anasema/anaimba
/Ooh nganda yaoo.../
/.....................................
Oya nganda yaoo../
...................................
.....ngandayo aaeeeeh.
Halafu kanafata ka-guitar fulani hivi katamuuu
Kuna jamaa anaimba kluuuuuuuu pumpumpumpuu sikia kenkenkenke
Hata mimi huwa nazikubali sana.
Kuna kipindi mwaka Jana 2016 nilizitafuta sana lakini niliambulia patupu.kama Kuna mtu ataziwezesha hapa litakuwa nu jambo jema sana katika mwaka huu 2017.
Mimi natafuta nyimbo alizoimba hayati John Darmian Komba wakati wa Msiba wa Baba wa Taifa.
Ndaya
Uzi ushaunganishwa wewe, shtukaHmmm, zinaendanaje na nyimbo za kikatoliki?
Na huu Basungu/cocodilite alikua akiucheza saaana mtamgazaji Charles Hirary enzi hizo radio ni moja tu RTD
Na huu Basungu/cocodilite alikua akiucheza saaana mtangazaji Charles Hirary enzi hizo radio ni moja tu RTD