Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu,kuna wimbo fulani wa kizamani aliimba mama/dada fulani, ni wimbo filani hivi wa taratibu na wa kubembeleza, kwenye korasi anasikika kama anasema/anaimba

/Ooh nganda yaoo.../
/.....................................
Oya nganda yaoo../
...................................
.....ngandayo aaeeeeh.

Halafu kanafata ka-guitar fulani hivi katamuuu

Ndaya

https://youtu.be/2bnCqxAYf1s
 
Mwenge songi la
stereo_this_time

Hiyo ngoma kila Niki download nakuta biti nyingine ya kifala wakati inabiti kali,

Mwenye iyo ngoma ila biti tofauti aweke hapa nipakue biti nayoitaka.
 
Wakuu samahani kuna wimbo Jose Mara unaitwa imebaki story, ndivyo nilivyousikia Lakota akiutaja jina kweny weekend bonanza.. Nimeutafuta you tube, google lakini sijaupata msaada tafadhali kwa mwenye nao.

Pia kuna wimbo mmoja wa Msondo ngoma kuna sehemu wanaimba hivi 'Wanasema atapa shida atapata taabu yeye mtoa ridhiki" kama sijakosea ni hivo, nao naomba msaada kwa mwenye nao
 
Wakuu mimi kuna nyimbo mbili nazitafuta ila majina ya nyimbo na walioimba siwafaham ni kitambo. Viitikio: Tunakandia sana sometimes tunacheza madeal hatari sana "Majobless jobless. Tunawaza sana mpaka mabichwa yanaongezeka upanaa majobless.
 
Kuna nyimbo naitafuta sana ya Bongo flavour ya kitambo. Hio nyimbo kaimba mdada mwanaume sijui ni steve rnb na kamshirikisha mdada.

Una kiitikio hivi '' mbona wanifananisha naee nami siko kama yeye''
' ' usinihukumu, umeni hukumu' '.....
Msaada wanandugu @
 
HI NTALIPIA IKIBIDI!!

Kuna zile nyimbo za gospel zilikua zinaimbwa na wasanii wengi kisha zinawekwa kwenye cd moja!
Zilikua zinaitwa amen!
Hivyo zilikua vol1 -2-3 nakuendelea
Kuna moja waliimba mzee makasy na chirstina shusho
Wapo studio wanaimba kama demo afu mbele nyimbo yenyemwe


Line nayoikumbuka inasema(wewe ni mungu hakuna kama wewe)
 
Back
Top Bottom