.....Kumbe mshenga katoroka pesa na mali hakupeleka yeyeee ..ooho
..Tulipofika mahakamani eee....mshanga aruka, adai hakupokea pesaaa....aliuliza ushahidi uko wapiiii...."
Natafuta sana nyimbo hizi bila mafanikio.Mpangilio wake kwenye albam ulikuwa hivi
Sauti ikatoka
Adamu na Eva walikula tunda
Mateso yake bwana yesu
Nimekuweka chini
Bwana ndiye mchungaji wangu
Mimi mzabibu
Bwana Mungu asema leteni dhaka
Bwana niangaze n.k
Nimetafuta kila mahali mitandaoni sipati.Hakika zilikuwa zinanibaliki sana mwenye nayo albam hii anisaidie
Nilishasaka mno bila mafanikio,huwa nakutana nazo baadhi ambazo lakini si kwa ladha ile ni kama zilirudiwa na KKKT mabibo vijana uimbaji ni tofauti kabisa
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.