Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mwenye wimbo Wa "Ni mdodo" Wa kizigua...msaada
Mwenye wimbo wa Gloria wa msondo ngoma auweke
Natafuta wimbo wa Katoliki ulikuwa unaimba ivi;
PENDANENI, PENDANENI,
KAMA NILIVYOWAPENDAAA
NANYI PIA,
NANYI PIA MPENDANE.
Natanguliza shukrani..
Mimi naomba kwa aliye na wimbo Clarah wa maquiz naomba anisaidie tafadhali
Best Maridadi ya East African Melody, iwe full maana ya Youtube imekatwa
Mambo kwa soksi by Remmy Ongala
Wakuu hii ngoma bado sijaipataaKuna nyimbo inaimbwa kuwa
"Baba kaleta panyaa baba kaleta panyaa wee usiseme panya sema chamaki nchanga mwenye nyumba hii ni mamkonde akisikia utafukuzwa utarudi kwenu Ntwara"
Nisaidieni hii nyimbo huwa na mkumbuka sana Marehem Baba yangu alikuwa anaupenda mno.
Natafuta wimbo huu wa mshenga ni zilipendwa
.....Kumbe mshenga katoroka pesa na mali hakupeleka yeyeee ..ooho
..Tulipofika mahakamani eee....mshanga aruka, adai hakupokea pesaaa....aliuliza ushahidi uko wapiiii...."
ungetaja jina lake niweze kuupata kwa uraisi ila ninaoWakuu hii ngoma bado sijaipataa
Nitaimba Siku Zote ~ KWAYA YA WATAKATIFU MASHAHIDI WA UGANDAHivi kwaya gani iliimba “Nitaimba siku zote kwa Yesu Moyo Mkuu, kulikoo... kuliko vitu vyote....
Kuna wimbo unasema kitanda kipo wananilaza chini..
Natafuta sana nyimbo hizi bila mafanikio.Mpangilio wake kwenye albam ulikuwa hivi
Sauti ikatoka
Adamu na Eva walikula tunda
Mateso yake bwana yesu
Nimekuweka chini
Bwana ndiye mchungaji wangu
Mimi mzabibu
Bwana Mungu asema leteni dhaka
Bwana niangaze n.k
Nimetafuta kila mahali mitandaoni sipati.Hakika zilikuwa zinanibaliki sana mwenye nayo albam hii anisaidie
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
nimeshaziwekaNilishasaka mno bila mafanikio,huwa nakutana nazo baadhi ambazo lakini si kwa ladha ile ni kama zilirudiwa na KKKT mabibo vijana uimbaji ni tofauti kabisa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mimi natafuta wimbo was fanuel Sedekia unaitwa mfalme nebkadneza aliulizaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Chaupele mpenzi