Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna nyimbo inaimbwa kuwa

"Baba kaleta panyaa baba kaleta panyaa wee usiseme panya sema chamaki nchanga mwenye nyumba hii ni mamkonde akisikia utafukuzwa utarudi kwenu Ntwara"

Nisaidieni hii nyimbo huwa na mkumbuka sana Marehem Baba yangu alikuwa anaupenda mno.
Wakuu hii ngoma bado sijaipataa
 
Natafuta wimbo huu wa mshenga ni zilipendwa

.....Kumbe mshenga katoroka pesa na mali hakupeleka yeyeee ..ooho
..Tulipofika mahakamani eee....mshanga aruka, adai hakupokea pesaaa....aliuliza ushahidi uko wapiiii...."
 
Hivi kwaya gani iliimba “Nitaimba siku zote kwa Yesu Moyo Mkuu, kulikoo... kuliko vitu vyote....
Nitaimba Siku Zote ~ KWAYA YA WATAKATIFU MASHAHIDI WA UGANDA
 
Natafuta sana nyimbo hizi bila mafanikio.Mpangilio wake kwenye albam ulikuwa hivi
Sauti ikatoka
Adamu na Eva walikula tunda
Mateso yake bwana yesu
Nimekuweka chini
Bwana ndiye mchungaji wangu
Mimi mzabibu
Bwana Mungu asema leteni dhaka
Bwana niangaze n.k

Nimetafuta kila mahali mitandaoni sipati.Hakika zilikuwa zinanibaliki sana mwenye nayo albam hii anisaidie

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app












ROGATH MCHAU, fundi bishoo
 
Pokea kidogo shukrani yangu... Nautafuta huu wimbo bila mafanikio
 
Back
Top Bottom