Nami naitafuta hii taarabu;Natafuta Ile taarabu inayoimbwa kwenye royal tour,
bado asee naona hakuna anayeujua humu ngoja nitafute namba za mtangazaji wa zamani wa hicho kipindi Abubakar Sadik (kwa fujo) labda anaweza kutusaidia kuujuandugu umeupata...???
Sio huu kwelibado asee naona hakuna anayeujua humu ngoja nitafute namba za mtangazaji wa zamani wa hicho kipindi Abubakar Sadik (kwa fujo) labda anaweza kutusaidia kuujua
Kuna nyimbo hupati YouTube,kuna wimbo nimeutafuta sana YouTube na sehemu zingine sijaupata nikauliza humu bado sijafanikiwaHuu uzi ulipandishwa kipind hamna YouTube au?
Samahani sana kwa kuchelewa kukutumia mkuu,Hapana sijaupata..nauomba Kama unao.
Ahsante
EnjoyLove angel..js ft Robert kelly
Enjoy mkuuMapenzi kitu gani mb dog nautafuta sana
Asante sana mkuuEnjoy mkuuView attachment 2466635
[emoji106]Asante sana mkuu
Huo hapoMr right wa barnaba nitaupata wapi ?
Kinachonifanya nibakie mdomo wazi,aliyeanzisha haya naye hazijjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna nyimbo hupati YouTube,kuna wimbo nimeutafuta sana YouTube na sehemu zingine sijaupata nikauliza humu bado sijafanikiwa
[emoji3],huyo katusaidia sana,maana lengo lake ni kutukutanisha ili kila mwenye nacho anamsaidia mwenzake hata kama yeye hazijuiKinachonifanya nibakie mdomo wazi,aliyeanzisha haya naye hazijjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante tubarikiwe sote mkuuBarikiwa mpendwa
Aisee natafuta ngoma moja ya Snare yule alikuwaga kwenye kundi la East coast team... unaimbwa "Kwenye game jinsi inavyokuwa... kuwa na umakini mambo mengi yanatokea! Niite Snaareee mashit! Yanaendelea... haina noma kwenye game mi nasogea!..." tafadhali anaejua nitaipata vipi anisaidie tafadhali inanikumbushaga mbali sana. Zamani ndo kulikuwa na nyimbo, yaani Ukisikiliza ujumbe, mpangilio, mashairi na hata watu walivyovaa unaburudika! Ingawa tulikuwa bado sana kwenye videos. Those days was good!
Mkajipakulie wenyewe huko youtube, Naamini ni Huu. Snare ana nyimbo chache zilizohit ikiwamo Hii na Funguo ukiachikia zile alizoshirikishwa kama Kazi,pesa na matanuzi akiwa pamoja na AY MASTER na Zile za ECT
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Ahsante sana mkuu!
Mkajipakulie wenyewe huko youtube, Naamini ni Huu. Snare ana nyimbo chache zilizohit ikiwamo Hii na Funguo ukiachikia zile alizoshirikishwa kama Kazi,pesa na matanuzi akiwa pamoja na AY MASTER na Zile za ECT
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app