Nina huo wa Mitego.Wakuu mwenye hizi nyimbo kwenye library yake anisaidie tafadhali:
1. Tid - Sauti ya dhahabu
2. Ney - Mitego
3. ??( nimemsahau msanii na wimbo) kiitikio kimeimbwa
"Shani wangu nakupendaaa ooh mi nakupendaaa,
Shida nilizozipata anajua ye mwenyeeeziiii..x3"
Nawasilisha
Hii nyimbo nimeitafuta mda mrefu sana. Ilikuwa inapigwa sana chanel ten. Kama uliupata naomba unitumie. .Ngoja niweke mashairi Kwanzaa song linaanza au linaelezea jamaa anaenda kwa mganga apate utajiri ila mganga anamwambia awaue wazazi wake jamaa linakubali baadae mambo yanamuendea kombo plus mawazo anaanza kulewa
Shairi ninalolikumbuka ilikuwa bongo flavor ya kipindi hicho
Pesa na majumba, ni vitu vya kutafuta
Usifanye wewe pupa, utakuja kuvikuta
Ona baba yako umemzka, huna huruma na mama yako mume mzma,
Sasa umebaki ohii
Lengine linasema
Mganga kamwambia, awaue wazazi wake ili apate hzo pesa zake
Akasema yeye hawezi kwani wao ndo tegemezi
Anaekumbuka tafadhali
Thanks mkuu nimeutafuta miaka na miaka ila nkajua umeimbwa na Enika kumbe ndiyo maana nlikuwa naukosaErica lulakwa-close to u. Utafute utaupata
Oga Police - Shiikane nimeshaupataNahisi unawasemea obession hawa ni wa Uganda huo wimbo unaitwa Jangu… check YouTube
🤜🏽🤜🏽Oga Police - Shiikane nimeshaupata
Wakuu mwenye hizi nyimbo kwenye library yake anisaidie tafadhali:
1. Tid - Sauti ya dhahabu
2. Ney - Mitego
3. ??( nimemsahau msanii na wimbo) kiitikio kimeimbwa
"Shani wangu nakupendaaa ooh mi nakupendaaa,
Shida nilizozipata anajua ye mwenyeeeziiii..x3"
Nawasilisha
Ndoto tataMi natafuta nyimbo ya
Jiti boy ft Waziri Sonyo- ni ndoto
Ndoto tata
Mgumba - mwinjuma muumini." katapila nyamaza kulia,ukilia utaliza wengi ukiwa mbaya eeee"' inaitwaje hii Ngoma?