Chorus inaimba ¶ ...hawatufundishi uwoga ..¶

verse .. mishe mishe ndo zilizofanya tusionane....

Ni hip hop ya Arusha mdada anaimba kiitikio, siku mbuki ni jombii kaimba au chindo .

Mwenye kuijua anijuze pls sana
 
Mimi natafuta wimbo niliousikia nipo msogo sana.
Sijui unaitwaje na sijui kaimba nani.
Nanukuu.

Aiya iya iya ii! Aiyaooo, aiyaoooo.

Nilijisikia wimbo huu miaka 19 iliopita. Msaada jamani japo link au jina la msanii na wimbo husika.
Missing u- case
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Kuna wimbo mmoja wa taarab za zamani ulikuwa unapigwa sana kipindi cha uchaguzi Zanzibar, siuji jina lake wala muimbaji anaitwa nani lakini nakumbuka baadhi ya maneno ...

"Ewe mola, yaa karima yaa manani"
"Twakuoomba yalopiita, yasiruudi visiwani"
"Utujaalie salaaama, ..........."
 
Hebu jirekodi utumie hapa tuskie melody yake please...!
 
Wakuu mwenye Wimbo wa Bahati bukuku waraka wa Aman ambao ni singeli version aniwekee hapa...

Nilikuwa nautumia kwenye mazoezi nikaupoteza na simu nimekumbuka vibe lake
 
Kuna wimbo wa kwaya kkkt....maneno yake....imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....tumestahilishwa kwa neema wala si kwa matendo......wenzetu wamekosa nini na sisi ni nani.....hawakuamka wazima.......mimi na wewe leo wazima kwa neema yake.
ATAKAYEUPATA NITAMSHUKURU
 
Kuna wimbo nimeutafuta sana hata jina siujui ila chorus ameshirikishwa anaimba Juma Nature
"maisha tunayoishi (morogoro???) ni ya kimkandamkanda, chakula bei zinapanda, ingawa ni magumu lakini tunaishi Mungu yupo Mungu yupo..."
 
gnako ndani
Chorus inaimba ¶ ...hawatufundishi uwoga ..¶

verse .. mishe mishe ndo zilizofanya tusionane....

Ni hip hop ya Arusha mdada anaimba kiitikio, siku mbuki ni jombii kaimba au chindo .

Mwenye kuijua anijuze pls sana
hao ni nako tu nako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…