blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
kuna nyimbo ya Justine Kalikawe yenye maneno haya "usitumie cheo chako kama dhamana, kwa matakwa yako, utasababisha ajali kama ya mv bukoba..."
Jamani mimi naomba wimbo wa hawa dada unaitwa sikutaka. Syo remix na dudu baya bali ile original wameimba peke yao
unaitwaje?Nikisema i love you wa soggy dog atayenitumia nampa na bando la elfu 5
upo kwenye pc ni pm no yako ya whats app nikutumieStara Thomas
ukiupata nishtue mkuukuna mmoja unaimbwa wandugu tuwe na huruma×2
complex kiraka juu ya kiraka
Ni huu?
Ni wimbo Wa tundaman enzi hizo anajaribu game, ila sina huo wimboNatafuta nyimbo za afande sele zifuatazo;
*Mimi na wewe basi
*Mpenzi nipe mahitaji
*Wimbo mmoja unaitwa "oya washkaji mmemuona pita kapita?(a..a)-Ila huu sio wa afande sele.